Hali ya taharuki imetanda miongoni mwa baadhi ya waumini nchini Cameroon baada ya mhubiri mmoja aliyedai kuwaponya wagonjwa wa corona kufarifi dunia kutokana na uginjwa huo
Frankline Ndifor ambaye alikuwa mwanzilishi wa kanisa la Kingship International anasemekakana kuwaombea wagonjwa wa corona juma moja kabla ya kuagaa dunia na akadai kudai kuwaponya.
Habari Nyingine: Watu 4 wanusurika ajali baada ya lori kugonga nyumba yao

Habari Nyingine: Hospitali za Brazil zajaa pomoni huku wagonjwa wa COVID-19 wakifurika
Mhubiri huyo alizikwa Jumamosi Mei 15 na maafisa wa afya wanaoshughulikia watu wanaofariki dunia kutoikana na COVID-19.
" Huyu ndiye mhubiri aliyekuwa akidai kuwa anawaombea wagonjwa wa Corona kwa kuwawekea mkono, hii inamaanisha kuna watu walioambukizwa ugonjwa huo wakiombewa," Mmoj wa watu waliojishuku kuwa na virusi hivyo alisema.
READ ENGLISH VERSION
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia news@tuko.co.ke au WhatsaApp: 0732482690.
Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdjaoR4fJZmpKGtkp6%2FqnnApaCynZSWtm631LCYqaeerq5uw8Cgpqeip5Z6uK2MnKavoZRifnp5wJqemmWUqruqrYykrK2nm5a7onnNmmSun5%2Bjt7itjKGsqGaYqbqt